Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Gervace
Stephano Makoye katibu wa CCM wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita alipomtembelea ili
kumjulia hali nyumbani kwake Chato. Disemba 22, 2019. Bw. Makoye aliyewahi kuwa
katibu wa Mhe. Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa Mbunge wa Chato anaendelea na
matibabu nyumbani kwake katika Mtaa wa Kalema Chato Mjini Mkoani Geita.
No comments:
Post a Comment