HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 09, 2020

JK SOAP YATOA MSAADA HOSPITAL YA LIGULA

Mkurugenzi wa Kampuni ya JK Soap ya mkoani Mtwara, Janeth Kikoty, akigawa sabuni katika wodi ya wanawake iliyopo katika hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara.

Ameeleza kuwa wanawake wana jukumu kubwa ya kuonyesha juhudi zao za kujikomboa kiuchumi kwa ajili ya kuwa na jamii bora kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa.


No comments:

Post a Comment

Pages