Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe
Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya
Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga
kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job
Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa
Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, Marehemu
Boniface Simbachawene , wakati wa ibada
ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji
cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mwanasheria Mkuu wa
Serikali,Dkt. Adelardus Kilangi akishiriki ibada ya kuhifadhi mwili wa Marehemu
Boniface Simbachawene ambaye ni Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga
kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa
Nishati,Medard Kalemani akiweka shada juu ya kaburi la Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, Marehemu
Boniface Simbachawene , wakati wa ibada
ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji
cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Wajukuu wa Marehemu
Boniface Simbachawene, Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, wakiweka shada juu
ya kaburi wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga
kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment