Waziri wa Katiba wa Tanzania Augustine Mahiga amefariki dunia alfajiri ya leo mjini Dodoma.
Taarifa
iliyotiwa saini na Rais John Magufuli inasema kuwa Mahiga aliugua
ghafla akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma alfajiri ya Ijumaa, Mei mosi na
alifikishwa hospitali akiwa ameshafariki.
No comments:
Post a Comment