Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare akimuapisha Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya pamoja na Wakurugenzi wakila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akiwa Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya uapisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Idd Hassan Kamanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22
Juni 2020.
Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Laban Kihongosi Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.
Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Laban Kihongosi Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd
Hassan Kamanta watatu kutoka kulia mara baada ya hafla fupi ya uapisho.
Wengine katika picha ni Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Kaimu Katibu
Mkuu Kiongozi Dkt. Laurian Ndumbaro, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt.
John Pima wakwanza kulia mstari wa mbele, Jerry Mwaga Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua wakwanza kushoto, Mkuu wa Wilaya ya
Morogoro Bakari Msulwa wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Wilaya ya Monduli
ACP Edward Balele wapili kutoka kulia pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arusha
Kenan kihongosi. Mstari wa Nyuma waliosimama ni Katibu Mkuu Ikulu Dkt.
Moses Kusiluka pamoja na Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga.
No comments:
Post a Comment