July 16, 2020

CHUO KIKUU MZUMBE CHATOA MAFUNZO YA KIDIGITALI KWA WATAALAMU WA UGAVI NA MANUNUZI

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, akifungua rasmi mafunzo ya siku tatu ya wataalamu wa mambo ya Ugavi na Manunuzi kutoka Taasisi za Umma na Binafsi yanayofanyika chuoni hapo chini ya ufadhili wa Taasisi ya Kuehne Foundation.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.
Mratibu wa mafunzo ya wataalamu wa mambo ya ugavi na manunuzi kutoka taasisi za umma na binafsi, Dk. Omary Swalehe, akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo  inayoendelea katika Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na chuo hicho kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuehne Foundation.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, akifungua rasmi mafunzo ya siku tatu ya wataalamu wa mambo ya Ugavi na Manunuzi kutoka Taasisi za Umma na Binafsi yanayofanyika chuoni hapo chini ya ufadhili wa Taasisi ya Kuehne Foundation.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, akifungua rasmi mafunzo ya siku tatu ya wataalamu wa mambo ya Ugavi na Manunuzi kutoka Taasisi za Umma na Binafsi yanayofanyika chuoni hapo chini ya ufadhili wa Taasisi ya Kuehne Foundation.
Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Kuehne Foundation, Beatrice Millu, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya wataalamu wa mambo ya Ugavi na Manunuzi kutoka Taasisi za Umma na Binafsi yanayoendelea katika Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam. 
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya wataalamu wa mambo ya Ugavi na Manunuzi kutoka Taasisi za Umma na Binafsi yanayoendelea katika Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam
Mratibu wa mafunzo ya wataalamu wa mambo ya ugavi na manunuzi kutoka taasisi za umma na binafsi, Dk. Omary Swalehe, akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo  inayoendelea katika Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam. Semina hiyo imeandaliwa na chuo hicho kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuehne Foundation.
Washiriki wa mafunzo hayo wakiwa katika picha ya kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment

Pages