July 17, 2020

Gidabuday aibuka katika siasa achukua fomu ya ubunge Hanang

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Bw. Wilhelm Gidabuday akionesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la HANANG, Manyara kupitia Chama cha Mapinduzi ( CCM). 

No comments:

Post a Comment

Pages