July 19, 2020

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI KWA TIKETI YA CCM APOKELEWA KWA KISHINDI KISIWANI PEMBA LEO

Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi waliofika katika vuwanja wa Kibirinzi Chakechake Pemba wakati wa mkutano wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi.(Picha na Ikulu).
 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein  Mwinyi akiwahutubia Wanachama wa CCM  na Wananchi Pemba katikia uwanja wa Kibirinzi chakechake wakati wa mkutano wake wa kutambulishwa kwa Wananchi uliofanyika leo katika uwanja huo.(Picha na Ikulu).
 WALIOKUWA Wabunge wa CUF na sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi  wwakimsikiliza Mgombea wa Urais wa CCM katika mkutano wa kutambulishwa kwa Wananchi kisiwani Pemba uliofanyika katika Uwanja wa Watoto Kibirinzi Chakechake Pemba leo.(Picha na Ikulu).
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akiwahutubia katika kiwanja cha Kibirinzi Chakechake Pemba wakati wa mkutano wake wa kutambulishwa uliofanyika leo.(Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment

Pages