July 17, 2020

MJUMBE WA BARAZA LA UWT MKOA WA KIGOMA MIRIAM SAMSON ACHUKUA FOMU YA UBUNGE VITI MAALUM

            
Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Rashid Semindu, akimkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge Viti Maalum Kundi Vijana Kigoma Mjini, Mjumbe wa Baraza la U.W.T Mkoa wa Kigoma anayetokana na VIJANA, Miriam Samson.🇹🇿#Miriam_sasa_kwa uwajibikaji_2020.

No comments:

Post a Comment

Pages