July 10, 2020

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NEC KATIKA UKUMBI WA WHITE HOUSE JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC mara baada ya kuanza kwa Kikao ambacho kilikuwa na ajenda mbalimbali ikiwemo ya Uchaguzi wa Mgombea wa Urais kwa upande wa Zanzibari ambapo
Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi alichaguliwa kuwa kuwa Mgombe Urais kwa Tiketi ya CCM kwa upande wa Zanzibar leo tarehe 10 Julai 2020 katika Ukumbi wa White House jijini Dodoma
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo tarehe 10 Julai 2020.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo tarehe 10 Julai 2020.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo tarehe 10 Julai 2020.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo tarehe 10 Julai 2020.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula mara baada ya kuanza kikao cha NEC katika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo tarehe 10 Julai 2020.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi katika Mkutano huo wa NEC uliofanyika katika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma. PICHA NA IKULU.
 Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa upande wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza kuwashukuru Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC mara baada ya kuchaguliwa katika mkutano huo uliofanyika katika
Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma.

Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu wa Chama cha Mapinduzi CCM NEC wakishangilia wakati Kikao cha NEC kikiendelea katika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Job Ndugai akitangaza Matokeo ya Uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa NEC jijini Dodoma ambapo Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi aliibuka mshindi na kuwa mgombea Urais wa CCM kwa upande wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa mara baada ya Mgombea Urais wa CCM kwa upande wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi kusimama mbele ya Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC kwa ajili ya kuwasalimia.

 Mwenyekiti wa CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kuwashukuru Wajumbe wa NEC katika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar
Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Wajumbe wa NEC mara baada ya kumpata Mgombea Urais wa CCM upande wa Zanzibar katika kikao cha NEC kilichofanyika White House jijini Dodoma. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages