Mshambuliaji wa Mbeya City, Alibasilim Chidiebele, akipiga shuti huku
akizongwa na beki wa Namungo FC, Hamis Mgunya, katika mechi ya Ligi Kuu
ya VODACOM Tanzania Bara iliyochezwa kwanye Uwanja wa Kassim Majaliwa,
Ruangwa, Julai 15, 2020. Namungo FC ilishinda 1- 0. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment