July 14, 2020

TUME YA MADINI YAIBUKA KIDEDEA KWENYE MAONESHO YA SABASABA

Tume ya Madini leo tarehe 13 Julai, 2020 imekuwa mshindi kwenye Kundi la Nishati na Madini kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyomalizika leo katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 

No comments:

Post a Comment

Pages