July 11, 2020

WAKUU WA VIKOSI VYA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ) WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) John Masunga (Kulia), akisalimiana na Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar, Ali Malimussy (kushoto), baada ya kuwasili Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) John Masunga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar, Ali Malimussy (Wanne kutoka kushoto), Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Ali (Watatu kutoka kushoto),
Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Ali hamad ( Wasita kutoka kulia), Wajumbe toka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Viongozi Waandamizi wa Jeshi hilo wakati walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma mapema leo. (PICHA NA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI).

No comments:

Post a Comment

Pages