July 16, 2020

WAZIRI MANYAKALA, KATIBU WA CHAMA CHA SOKA PWANI WAJITOSA KUCHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA MJI

 Mwanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) ambaye pia anaomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge  katika jimbo la Kibaha mjini Waziri Manyakala kushoto akikabidhiwa fomu maalumu kwa ajili ya kugombea nafasi hiyo  kwa na mmoja wa viongozi wa Chama  hicho katika ngazi ya Wilaya ya Kibaha. (Picha na Victor Masangu).
 Mtia nia katika nafasi ya Ubunge wa jimbo la Kibaha Mjini Waziri Manyakala wa kati kati akionyesha fomu hiyo kwa waandishi wa habari hawapo pichani mara baaada ya kumaliza kuchukua fomu hiyo katika ofisi za Chama cha mapinduzi Kibaha Mji. (Picha na Victor Masangu).
Baadhi ya wananchi  wa Wilaya ya Kibaha  wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Manyakala ambaye anaomba ridhaa kwa ajili ya kugombea nafasi ya ubunge katika  jimbo la Kibaha mjini. (Picha na Victor Masangu).
Katibu Mkuu wa Chama cha soko Mkoa wa Pwani (COREFA) Abubakar Allawi (kushoto)akipokea fomu kutoka kwa Katibu wa chama hicho Afidu Luambano kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama.Picha na Victor Masangu

No comments:

Post a Comment

Pages