Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimeweka historia mpya katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma mahali ambapo wamezindua kampeni zao.
Inaelezwa
bayana kuwa CCM ni Tumaini la Ushindi, Ari ya kuelekea Tanzania yenye
Kazi na kasi zaidi, Sasa rika zote zimeamua kumpa Tano Magufuli
aendeleze safari ya kuikandarasi Tanzania yenye Tija.
kwa wana
CCM na Wananchi Wazalendo hapa Dodoma mjini, kwenye uwanja wa Jamhur.
Historia mpya inawekwa leo @ccmtanzania @ccm_zanzibar
@samia_suluhu_hassan @dr.hmwinyi



No comments:
Post a Comment