Wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar wa Chama cha ACT - Wazalendo wamepata
mapokezi makubwa walipowasili visiwani Zanzibar wakitokea Tanzania Bara ambako mkutano
mkuu wa chama hicho uliwachagua.Msafara wa wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar wa Chama cha ACT - Wazalendo ukipokelewa na wafuasi wa chama hicho ulipopowasili wakitokea Tanzania Bara ambako mkutano
mkuu chama hicho uliwachaguwa.

No comments:
Post a Comment