Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, leo Agosti 09,2020 ameendelea kufanya Mazoezi ya kutembea masafa
ya Kilomita nne yaliyoanzia kwenye Makazi yake mtaa wa Farahani Kilimani jijini
Dodoma ambapo amesisitiza kwa Watanzania kutokuacha kufanya mazoezi kwani
mazoezi ni muhimu kwa Afya. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:
Post a Comment