Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu,
akinunua tikitimaji kutoka kwa mfanyabiashara, Rashid Busongo, mara
baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni Ziba jimbo la
Manonga mkoani Tabora leo Septemba 18, 2020 . Chadema inaamini katika kuwa na serikali yenye upendo na ukaribu na watu sio kuwatisha na kuwanyima uhuru na furaha.
Mgombea
Mwenza Mhe. Salum Mwalimu akifurahia tikitiki na wananchi baada ya kumaliza
mkutano wa kampeni Ziba jimbo la Manonga. CHADEMA inaamini katika kuwa
na serikali yenye upendo na ukaribu na watu sio kuwatisha na kuwanyima
uhuru na furaha.Mgombea
Mwenza Mhe. Salum Mwalimu akifurahia tikitimaji na wananchi baada ya kumaliza
mkutano wa kampeni Ziba jimbo la Manonga. Chadema inaamini katika kuwa
na serikali yenye upendo na ukaribu na watu sio kuwatisha na kuwanyima
uhuru na furaha.
Mgombea Mwenza Mhe. Salum Mwalimu akifurahia tikitimaji na wananchi baada ya kumaliza mkutano wa kampeni Ziba, jimbo la Manonga. Chadema inaamini katika kuwa na serikali yenye upendo na ukaribu na watu sio kuwatisha na kuwanyima uhuru na furaha.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kata ya Mnadani jimbo la Igunga mkoani Tabora leo Septemba 18, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni jimbo la Igunga leo.Baadhi ya wananchi wa kata ya Igunga wakisikiliza sera za
mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu
Baadhi ya wananchi wa kata ya Igunga wakisikiliza sera za
mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu
Mgombea ubunge jimbo la Manonga, Josephat Shilogile, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Septemba 18, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Salum Mwalimu akimnadi mgombea ubunge jimbo la Manonga mkoani Tabora, Josephat Shilogile.
Viongozi wa CHADEMA jimbo la Nzega Mjini wakiwa katika mkutano wa kampeni.Viongozi wa CHADEMA jimbo la Nzega Mjini wakiwa katika mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Nzega Mjini.
Wakazi wa Nzega Mjini wakiwa katika mkutano wa kampeni za mgombea mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Salum Mwalimu zilizofanyika mkoani Tabora katika jimbo la Nzega Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiwanafi wagombea udiwani wa kata tofauti jimbo la Nzega Mjini
Mgombea ubunge jimbo la Nzega Mjini kupitia CHADEMA, Mary Adrew, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Septemba 18, 2020.Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiagana na mtoto aliyekuwa na shauku ya kutaka kumsalimia baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni jimbo la Nzega Mjini.Msafara wa Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiwapungia mkono wakazi wa jimbo la Nzega Mjini.Msafara wa Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Salum Mwalimu, ulipomaliza mkutano wa kampeni zake.

Na Mwandishi Maalum, Tabora
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kitafungua soko huria litakalotoa fursa kwa wakulima kuuza mazao yao popote wanapotaka hata nje ya nchi kwa bei wanayoitaka wenyewe.
Akizungumza na wakazi wa jimbo la Igunga mkoani Tabora leo Ijumaa, Septemba 18, 2020, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais, Mheshimiwa Salum Mwalimu amewahakikishia wakulima wa Pamba na Choroko wa jimbo hilo kuwa watakuwa huru kuuza mazao yao popote wanapotaka kwa bei yoyote wanayoona inafaa ili wanufaike na kilimo chao.
Mheshimiwa Mwalim amesema kuna ukandamizaji mkubwa unafanywa kwa wakulima kuwapangia mazao yao wakayauze wapi na kwa bei gani bila kuangalia ni kwa namna gani walipata tabu kupata mbegu, pembejeo na kutunza mazao shambani mpaka walipoyavuna.
“Serikali ya Chama Cha Mapinduzi haitaki kuhangaika na wakulima wala kuwawezesha wakati wa kilimo. Wanaibuka wakati wa mavuno na kuwapangia wakulima wapi wakauze mazao yao na kwa bei gani.
“Nendeni mikoa ya kusini kule Lindi na Mtwara muone wakulima wa Korosho walivyopata tabu. Wamevuna Korosho zao lakini wakaanza kupangiwa bei na wapi wakauze. Mwisho serikali ikawaambia kuwa itazinunua Korosho hizo lakini mpaka leo watu hawajalipwa pesa zao,” amesema Mheshimiwa Mwalim.
Mheshimiwa Mwalim amesema Ilani ya Uchaguzi ya Chadema ya mwaka 2020 kipengele cha 8 (i) kimeweka wazi kuwa Serikali ya Chadema imedhamiria kuunda vyama vya Ushirika ambavyo vitasimamiwa na kuendeshwa kwa ridhaa ya Wanaushirika wenyewe ili kuwezesha shughuli za kilimo, ufugaji na uvuvi wenye tija kwa wakulima na wafugaji wenyewe.
Mheshimiwa Mgombea nafasi ya Makamu wa Rais leo ameingia mkoa wa Tabora na kufanya mikutano kwenye majimbo ya Igunga, Manonga na Nzega Mjini. Kesho Septemba 19, 2020 ataendelea na ziara kwenye mkoa huo kwa kufanya mikutano kwenye majimbo ya Sikonge, Uyui na Tabora mjini.
No comments:
Post a Comment