Mgombea Ubunge Jimbo la Vunjo kupitia CCM, Dk. Charles Kimei, akizungumza na wakazi wa Kahe Mashariki jimbo la Vunjo kuhusu nia yake ya
kuanzisha mfumo mathubuti wa ukopeshaji ili kuviwezesha vikundi vya
Ujasiriamali na uzalishaji kupata mitaji endelevu, hivyo kuepuka
kutegemea michango ya wanachama pekee katika kukopeshana. (Picha na Mtandao).
No comments:
Post a Comment