October 11, 2020

MGOMBEA MWENZA CHADEMA AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI NJOMBE, MBEYA

 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Kongoro jimbo la Mbarali mkoani Mbeya.
 
Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Urembo jimbo la Makete mkoani Njombe. 
  
Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni.
Wananchi wakitoka katika mkutano wa kampeni za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim uliofanyika katika jimbo la Mbarali mkoani Mbeya.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akiagana na wakazi wa Kata ya Kongoro waliohudhuria mkutano wa kampeni jimbo la Mbarali.

No comments:

Post a Comment

Pages