October 14, 2020

STANBIC YADHAMINI TUZO ZA WANAWAKE KATIKA SEKTA YA FEDHA


Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic, Kevin Wingfield akihutubia wakati wa hafla ya tuzo za  Financial Women awards  iliyofanyika Mlimani City, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.  Benki ya Stanbic ni miongoni mwa wadhamini wa tuzo hizo zilizolenga kutambua mchango wa wanawake kwenye sekta ya kifedha.
Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Stanbic, Kevin Wingfield akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo katika hafla ya tuzo za Financial Women iliyofanyika Mlimani City, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.  Benki ya Stanbic ni miongoni mwa wadhamini wa tuzo hizo zilizolenga kutambua mchango wa wanawake kwenye sekta ya kifedha. Wapili kushoto ni Mkuu wa Masoko wa Stanbic, Desideria Mwegelo.

No comments:

Post a Comment

Pages