November 20, 2020

MAHAFALI YA 19 CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI KUU MOROGORO 2020

 Mlau, Cyriacus Binamungu akiongoza maandamano ya wanataaluma kuelekea katika eneo la mahafai ya 19 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro kuashiria mwanzo wa mahafali hayo yaliyofanyika leo Novemba 20, 2020 mkoani Morogoro ambapo jumla ya wahitimu 2114.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Barnabas Samatta, akiunda mkusanyiko wa mahafali ya 19.

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Mathew Luhanga, akitoa nasaha zake wakati wa mahafali hayo.

Wahitimu wa ngazi mablimbali za taaluma wakimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Mathew Luhanga, wakati akitoa nasaha zake wakati wa mahafali hayo. 

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Barnabas Samatta, akimpongeza Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe baada ya kutoa nasaha zake.

Wahitimu wa ngazi mbalimbali za taaluma wakimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka, wakati akitoa nasaha zake.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka, wakati akitoa nasaha zake wakati wa mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro yaliyofanyika leo Novemba 19, 2020 mjini Morogoro.

 Wahitimu wa ngazi mbalimbali za taalumawakiwa katika mahafali ya 19 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro.
Mhitimu Kibeshi Kiyabo.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Barnabas Samatta, akimtunuku Shahada ya Uzamivu, Kibeshi Kiyabo.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Barnabas Samatta, akimtunuku Shahada ya Uzamivu, Rose Katabi.
Wahitimu wa Shahada wa Uzamivu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutunukiwa shahada zao. Kutoka kulia ni Bryson Kinyanduka, Kibeshi Kiyabo, Rose Katabi, Ruth Elias na Simeo Kisanjara.
Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Umahili wa Mifumo ya Afya.
Wahitimu wa Shahada ya Umahili wa Sayansi katika Uchumi ya Jamii.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi (wa pili kushoto) akifuatilia mahafali ya 19 Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro.

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages