MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe Dk. Ali Mohameed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijinin Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmaashauri Kuu ya CCM Zanzibar .(Picha na Ikulu).
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohameed Shein akifungua Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCK Kisiwandui Jijini Zanzibar 2/11/2020. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment