Askari Polisi wakiwadhibiti mashabiki kabla ya mchezo wa Simba na Yanga katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam leo Novemba 7, 2020. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na John Dande).
Mashabiki wa soka wakielekea uwanja wa Mkapa kushuhudia pambano la Yanga na Simba.
Mashabiki wa soka wakiwa katika foleni kabla ya kuingia uwanjani kushuhudia pambano la Yanga na Simba.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao.
Furaha ya kufunga bao.
No comments:
Post a Comment