Katbu Mtendaji wa
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki kuhusu
kuongeza muda wa udahili kwa kufungua Awamu ya Tatu na ya mwisho ya
udahili iliyoanza Oktoba 30 hadi Novemba 4, 2020.
No comments:
Post a Comment