HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 31, 2020

BENKI YA NMB YASHIRIKI MKUTANO WA WADAU WA BIMA

Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martin Massawe akizungumza wakati akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa wadau wa Bima uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Maendeleo ya Masoko kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania - Muyengi Zakaria akimkabidhi cheti Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martin Massawe ikiwa ni kutambua mchango wa NMB katika sekta ya Bima nchini kwenye Mkutano wa wadau wa Bima uliofanyika mwishoni mwa wiki. Wengine ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam, Khamis Suleiman (katikati).
Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martine Massawe (kulia) akizungumza kwenye mdahalo wakati wa mkutano wa wadau wa Bima uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam, Khamis Suleiman na kulia ni Mwezeshaji, Margaret Ikongo.

No comments:

Post a Comment

Pages