December 13, 2020

BONANZA LA KUMUENZI MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA MAREHEMU ALLY YUSUPH 'TIGANA' LAFANYIKA DAR


 Mchezaji  wa Don Bosco Veteran, Peter Kidiga (kulia), akiwania mpira na mchezaji wa Lugalo Paul Mashaka,katika mechi ya kirafiki  ya kumuenzi  aliyekuwa mchezaji  wa  zamani wa Yanga na timu ya taifa na marehemu Ally Yusuph 'Tigana', baada ya kufikisha mwaka mmoja bonanza hilo lilifanyika Uwanja wa Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam. (Picha na John Dande).

 Mchezaji  wa Don Bosco Veteran, Lumbika Ericky (katikati),akiwatoka wachezaji wa Lugalo katika mechi ya kirafiki  ya kumuenzi  aliyekuwa mchezaji  wa  zamani wa Yanga na timu ya taifa, marehemu Ally Yusuphu 'Tigana'.

 Mchezaji wa Lugalo Paul Mashaka,akiwatoka wachezaji wa timu ya Don Bosco Veteran, katika mechi ya kirafiki  ya kumuenzi  aliyekuwa mchezaji  wa  zamani wa Yanga Ally Yusuph 'Tigana'.


 Mchezaji  wa zamani wa Mtibwa  Sugar, Monja Liseki (kulia), akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Lugalo, Jacobo Anderson, katika mechi ya kirafiki  ya kumuenzi  aliyekuwa mchezaji  wa  zamani wa Yanga marehemu Ally Yusuph 'Tigana'.

 Mchezaji  wa zamani wa Yanga Pascal Kaliasa (kushoto), akizungumza jambo na baadhi ya  wachezaji wenzake wa zamani katika Bonanza la kumuenzi  aliyekuwa mchezaji  wa  timu hiyo Ally Yusuph 'Tigana'.

No comments:

Post a Comment

Pages