MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHAMWINO DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoketi leo Januari
15,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment