Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), wakiongozwa na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako (wa kwanza kulia) wakifuatilia maelekezo ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (hayupo pichani) alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo. |
No comments:
Post a Comment