Kampeni hii ina lengo ya kuleta watu pamoja na kufanya mabadiliko chanya kwenye jamii zetu. Matarajio ya Campaign hii ni kuhamasisha uwajibikaji wa kila mtu katika ulindaji na utunzaji wa Mazingira yetu.
Fukwe safi ni moja la eneo linalohitaji uwajibikaji wa pamoja kutoka ngazi zote kama wananchi,wadau,asasi,sekta binafsi,serikali ,wanazuoni etc
Hivyo basi tunawakaribisha wote kushiriki katika usafi wa fukwe ya Msasani ili tuweze kuja na suhuhisho na mipango endelevu ya fukwe hii.
Usisahau njoo na chupa yako ya maji na barakoa.
Kweli kabisa,tuna wajibu wa kuyalinda na kuyatunza Mazingira yetu ,usafi wa fukwe zetu ni jukumu letu sote.
ReplyDelete