June 23, 2021

BENKI YA CRDB YADHAMINI MAFUNZO YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa, akitoa hotuba yake wakati wa kufungua mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.

 Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dotto James, akifungua rasmi mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika katika Bwalo la Jeshi la Kujenga Taifa Mgulani Dar es Salaam.

Meneja Bidhaa Mwandamizi wa wa Huduma za kibenki kwa Wanawake Benki ya CRDB, Rachel Senni, akitoa mada kuhusu akaunti maalumu kwa ajili ya Wanawake ya ‘CRDB Malkia’ wakati wa mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika katika Bwalo la Jeshi la Kujenga Taifa Mgulani Dar es Salaam.

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Banana, Elikira Nkya, akitoa mada wakati wa mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika Dar es Salaam na kudhaminiwa na benki hiyo.
Mjasiriamali Mariam Muya kutoka Kigamboni Dar es Salaam, akiuliza swali wakati wa mafunzo hayo.

Mjasiriamali Amina Hassani kutoka mkoani Tabora akiuliza swali.

Meneja Bidhaa Mwandamizi wa wa Huduma za kibenki kwa Wanawake Benki ya CRDB, Rachel Senni, akijibu maswali ya wajasiriamali.
Meneja Mahusiano Bima Benki ya CRDB, Loveleth Christian akitoa mada katika mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages