Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akifungua semina ya wahariri na waandishi wa habari iliyoandaliwa na Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Juni 12, 2021.

Mkurgenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), Prof. Lazaro Busagala, akizungumza wakati wa Mafunzo Kitaifa kwa Wahariri na Waandishi wa Habari juu ya uelewa na udhibiti na Matumizi Salama ya Mionzi nchini.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Wiliam Anangisye, akizungumza wakati wa Mafunzo ya Kitaifa kwa Wahariri na Waandishi wa Habari juu ya uelewa na udhibiti na Matumizi Salama ya Mionzi nchini.
Mkuu wa Ofisi ya Kanda ya Dar es Salaam Tume ya Unguvu za Atomiki (TAEC), Dk. Wilbroard Muhogora (kushoto) akiwa na Mtafiti Mwandamizi Sayansi ya Nyukilia, Alex Muhulo.
No comments:
Post a Comment