June 30, 2021

Zawadi za Milioni 45.4 kushindaniwa CRDB Bank Marathon


Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto), akionyesha bango linaloonyesha zawadi mbalimbali zitakazotolewa kwa washindi wa CRDB Bank Marathon 2021
zinazotarajiwa kufanyika Agosti 15.
Baadhi ya wadau wakiwa katika uzinduzi huo.


Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akizungumza wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa CRDB Bank Marathon 2021.

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa EFM, Denis Busulwa, akizungumza katika hafla ya kutangaza zawadi kwa washindi wa CRDB Bank Marathon.







No comments:

Post a Comment

Pages