Chuo Kikuu Mzumbe Dar Campus kimeendelea kuweka katika vitendo kauli mbiu yake ya Jifunze kwa Maendeleo ya Watu. Baada ya mafunzo ya ujasiriamali Machinga Complex tarehe 17 Julai 2021 , wanafunzi wa MBA wamewafuata na kuwafundisha wajasiriamali walio jirani na Chuo Kikuu Mzumbe eneo la Tegeta tarehe 24 Julai 2021. Mafunzo yalihusu ubunifu katika biashara.







No comments:
Post a Comment