September 08, 2021

CHUO KIKUU MZUMBE CHATAMBULISHA VIONGOZI WAPYA

 


Kutoka kushoto ni Kaimu Rasi Ndaki ya Dar es Salaam, Dk. Colletha Komba, Naibu Makamu Mkuu Utawala na Fedha, Prof. Allen Mushi, Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. William Mwegona, wakiwa katka kikao cha kutambulisha safu mpya ya uongozi wa chuo Kikuu Mzumbe.
Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akizungumza katika kikao cha wafanyakazi cha kuwatambulisha baadhi ya viongozi wapya wa chuo Kikuu Mzumbe kilichofanyika leo Septemba 8, 2021. Kushoto ni Naibu Rasi Ndaki ya Dar es Salaam na Naibu Makamu Mkuu Utawala na Fedha, Prof. Allen Mushi.

Naibu Makamu Mkuu Utawala na Fedha, Prof. Allen Mushi, akizungumza katika kikao hicho.

Wanajumuiya wa Chuo Kikuu Mzumbe wakiwa katika kikao cha kutambulisha safu mpya ya viongozi wa chuo hicho.


No comments:

Post a Comment

Pages