September 26, 2021

NAIBU KATIBU MKUU CCM KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA USHETU

 

 

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama Ndugu Thomas Muyonga (kulia)mara baada ya kuwasili wilayani humo tayari kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Ushetu kesho tarehe 27 Septemba katika viwanja vya Nyamilangano, Kahama mkoani Shinyanga.

 

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na wajumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Kahama mara baada ya kuwasili wilayani humo tayari kwa uzinduzi wa kampeni katika jimbo la Ushetu kesho tarehe 27 Septemba katika viwanja vya Nyamilangano, Kahama mkoani Shinyanga. (Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

Pages