October 14, 2021

TPDC SACCOS WAFANYA MKUTANO MKUU


Mwenyekiti wa TPDC Saccos, Renatus Kachira, akizungumza katika Mkutano Mkuu wa  TPDC SACCOS LTD uliofanyika jijini Dar es Salaam jana,(katikati) Mkurugenzi wa Biashara ya Mafuta na Gesi (TPDC) Dr. Hudson  Willington, kushoto Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Jijiji la Dar es Salaam, Donald Kibhuti.


Mkurugenzi wa Biashara ya Mafuta na Gesi (TPDC) Dk. Hudson  Willington, akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Shirika hilo katika Mkutano Mkuu wa  TPDC SACCOS LTD uliofanyoka jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TPDC Saccos, Renatus Kachira, kushoto Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Jijiji la Dar es Salaam, Donald Kibhuti.


Baadhi ya wanachama wa TPDC Saccos wakiwa katika Mkutano Mkuu wa TPDC SACCOS LTD uliofanyoka jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

Pages