October 09, 2021

WATOA HUDUMA ZA POSTA WATAKIWA KUWA WABUNIFU

 Na Jasmine Shamwepu, Dodoma


NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya  Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Jim Yonazi amewapa maagizo matatu  watoa huduma za posta ikiwemo  kuleta ubunifu nini cha kufanya ili kuboresha huduma za posta nchini

Maagizo mengine ni kuwa mabalozi wazuri wa sekta ya posta pamoja na kupeleka mapendekezo ya kile  ambacho kimefanyika katika sekta hiyo.

Akizungumza leo, Jijini  Dodoma wakati akifungua warsha ya watoa huduma za Posta,Naibu Katibu Mkuu huyo amesema mkutano huo ni muhimu hivyo amewapa maagizo ya kuleta ubunifu nini cha kufanya ili kuboresha huduma za posta nchini.


Pia ameyataja Maagizo mengine ni kuwa mabalozi wazuri wa sekta ya posta pamoja na kupeleka mapendekezo ya kile  ambacho kimefanyika katika sekta hiyo.

Kwa upande wake,Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dk.Jabir Bakari amesema warsha hiyo ni muhimu kwani watoa huduma hao wamekuwa wakitoa huduma ya kusafirisha mizigo kutoka eneo moja mpaka jingine.


Maadhimisho ya wiki ya Posta Duniani yameanza rasmi Jana na yanatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 9 Mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Pages