WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA ALGERIA NCHINI TANZANIA
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizungumza jambo na Balozi wa
Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal kabla ya mazungumzo yao,
yaliyofanyika Oktoba 18, 2021 katika ofisi za Wizara ya Nishati jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment