January 10, 2022

NENDENI MKACHAPE KAZI MUDA WA MANENO HAKUNA -RAIS SAMIA


Rais Samia, akizungumza baada ya kuwapisha Mawaziri naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, manaibu Mkatibu Wakuu, M/Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufani na Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora, Ikulu leo jijini Dodoma. Picha na Deus Mhagale.

 

Mawaziri na Manaibu mawaziri wakibadilishana mawazo kabla ya kuala kiapo leo, toka kushoto ni Huseein Bashe, Deo Ndejembi, Anthony Mavunde na  January Makamba.

 Waziri wa kilimo, Hessein Bashe, akizungumza na Naibu Waziri wa wizara hiyo Anthony Mavunde kabla ya kuala kiapo leo.

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka (watatu toka kushoto), akipiga picha ya pamoja na Mawaziri na Manaibu Mawaziri kanbla ya kuapishwa  leo.

 

Mbunge wa Ushetu Emmanuel Chalahani (kushoto), akiopiga picha na Mawaziri January Makamba (kulia) na Nnape Nnauye baada ya kuapishwa.


Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavubnde, akizungumza na baadhi ya wafanayakazi wa Wizara hiyo baada ya kupokelewa leo. Kulia  ni Waziri wa Wizara hiyo Hussein Bashe.

 Waziri wa Kilimo, Hueein Bashe , akiongozana na Naibu wa Wizara hiyo Anthony Mavunde, baada ya ya kujitambulisha kwa wafanyakazi wa wizara hiyo leo.

No comments:

Post a Comment

Pages