Rais Samia akutana na Uongozi wa Benki ya NMB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh Samia Suluhu Hassan
amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa benki ya NMB ulioongozwa
na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo - Ruth Zaipuna. Rais Samia
alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia
serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na
Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ruth Zaipuna. Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na
kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi
nchini.
No comments:
Post a Comment