April 09, 2022
Rais Samia ahutubia Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere-Kibaha Mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali, wanafunzi wa Vyuo Vikuu na wananchi wa Pwani katika Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi tuzo Makongoro Nyerere mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyepokea kwa niaba ya Familia yake katika Kumbukizi ya miaka 100 iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 09 Aprili, 2022.

.jpg)

No comments:
Post a Comment