RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka
ya futari mmoja ya Wananchi wenye mahitaji maalum Bw.Salmin Amour, wakati wa
hafla hiyo ya kukabidhi sadaka ya futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini
Magharibi, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu). WANANCHI
wenye mahitaji maalum wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa
nasaha zake wakati wa hafla ya kugawa sadaka ya futari kwa Wananchi hao
iliofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani Unguja.
No comments:
Post a Comment