May 28, 2022

ACT WAZALENDO YAZINDUA KADI ZA KIDIGITALI

 

 

Mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo Juma Duni Haji akionesha moja ya kadi za kidijitali kwa lengo la uzinduzi wa ugawaji wa kadi hizo kitaifa katika Ukumbi wa chama hicho, Kwale Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba.

 

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Juma Duni Haji, akimkabidhi kadi mpya ya kidijitali inayojuilikana kwa jina la ACT Kiganjani, Naibu Katibu wa Organization wa chama hicho, Omar Ali Shehe, wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa kadi hizo kwale Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, jana. (PICHA NA TALIB USSI).

No comments:

Post a Comment

Pages