May 20, 2022

BUNGENI KATIKA PICHA



Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanmzania JWTZ, Jenerali Venance Mabeyo, (wapili kushoto waliokaa mstali wa mbele), akifuatilia hotuba ya bajeti ya wizara ya ulinzi na makamanda wa mgazi za juu wa jeshi hilo katika ukumbi wa spika bungeni jijini Dodoma.


 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la K<ujjenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax: akiagana na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Venanchi Mabayo, baada ya bajrti ya wizara hiyoi kupitishwa na wabunge.


 Mbunge wa Viti Maalum Vyuo Vikuu, Dk. Thea Ntara, akikabidhiwa zawadi na Meneja Miradi wa Mamlaka ya Elimu nchini (TEA), Anna Makundi (katikati ), baada ya kutembele abanda la mamlaka hiyo lililopo katika maolnyesho ya wiki ya Ubunifu nchini yanayofanyika viwanja vya janhuri jijini Dodoma (kulia) ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka, hiyo Eliafile Solla.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Rajabu Mabele (kulia), akibadilishana mawazo na makamanda wake baada ya bajeti ya wizara ya jeshi hilo kupitishwa na wabunge  jijini Dodoma jana.Hapa ni viwanja vya bunge.

 

No comments:

Post a Comment

Pages