Rais Samia akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya
kufika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika
mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja
na Viongozi wengine waandamizi wa chama hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
16 Mei, 2022.
No comments:
Post a Comment