May 25, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan apewa Tuzo ya Babacar Ndiaye (Babacar Ndiaye Trophy 2022)


 

Rais Suluhu Hassan, akionesha Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022) kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara, mara baada ya kukabidhiwa Tuzo hiyo na Makamu wa Rais wa Sekta Binafsi, Miundombinu na Viwanda katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Solomon Quaynor, Accra nchini Ghana. (PICHA NA IKULU).

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika siku ya pili ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) tarehe 25 Mei, 2022 kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Accra, Ghana mara baada ya kukabidhiwa Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022) kutokana na Mafanikio yake kwenye Ujenzi wa Barabara.

 

No comments:

Post a Comment

Pages