May 17, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Tabora kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu tarehe 17 Mei 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kigwa, Igalula Mkoani Tabora alipokuwa njiani kutoka Kijiji cha Tura Wilaya ya Uyui kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Barabara ya Nyahua_ Chaya tarehe 17 Mei 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages