May 17, 2022

WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI WAKABIDHIWA VYETI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi akimtunuku cheti Mwenyekiti wa Baraza la Uratibu wa NGOs Taifa (NACONGO), Lilian Badi, mmoja wa  Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi yanayotolewa na Chuo cha Uongozi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahitimu wa wa Mafunzo ya Uongozi yanayotolewa na Chuo cha Uongozi wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages