Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) Idd Khamis Haji leo Jumamosi (Juni 18, 2022) wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika.Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akibadilishana mawazo na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu ya juu Zanzibar leo Jumamosi (Juni 18, 2022) wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika Viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika.Afisa Usafirishaji wa HESLB Juma Mohammed Ally (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB leo Jumamosi (Juni 18, 2022) katika maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika.
No comments:
Post a Comment